Make a word-for-word key of the following prayer.
Mungu | Mtakatifu | Mweza | Mtakatifu | Usiyekufa | Mtakatifu | utuhurumie |
---|---|---|---|---|---|---|
God | Holy | Abled/ Mighty | Holy | That-cannot-die | Holy | Have-mercy-on-us |
Holy God, Holy Mighty, Holy Immortal, have mercy on us.
Pia Mfalme wa huruma, sikia sauti ya maombi yangu wakati huu na Siku hii Takatifu, na kila wakati katika kila mahali; na hata kwa hawa, watumishi Wako, wanao ugua nafsi na mwili, kidhii uponyaji Wako, wasamehe dhambi, na usamehe uasi wao wanaojua na wasiojua, ukiwaponya vidonda ndugu, kila maradhi na udhaifu. Wape afya ya nafsi, Wewe, Uliye guza mama mkwe wa Petro, homa ilipomwacha; naye akaondoka, akakutumikia.
Your key should look something like this:
Pia | Mfalme | wa | huruma, | sikia | sauti | |
Key | ||||||
ya | maombi | yangu | wakati | huu | na | |
Key | ||||||
Siku | hii | Takatifu, | na | kila | wakati | |
Key | ||||||
katika | kila | mahali; | na | hata | kwa | |
Key | ||||||
hawa, | watumishi | Wako, | wanao | ugua | nafsi | |
Key | ||||||
na | mwili, | kidhii | uponyaji | Wako, | wasamehe | |
Key | ||||||
dhambi, | na | usamehe | uasi | wao | wanaojua | |
Key | ||||||
na | wasiojua, | ukiwaponya | vidonda | ndugu, | kila | |
Key | ||||||
maradhi | na | udhaifu. | Wape | afya | ya | |
Key | ||||||
nafsi, | Wewe, | Uliye | guza | mama | mkwe | |
Key | ||||||
wa | Petro, | homa | ilipomwacha; | naye | akaondoka, | akakutumikia. |
Key |